NexGPS inakulinda dhidi ya wizi. Tazama chombo chako kwenye ramani live, zima engine kwa simu, weka mipaka (geo-fence) na pokea SMS ukiibiwa β hata umeme ukikatwa.
0+
Vyombo vinavyolindwa
0%
Wizi umepungua
24/7
Kituo cha msaada
app.nexgps.co.tz β’ LIVE
β LIVE TRACKINGBoda β MC 452 BDK β’ --:--:--
42 km/h β’ Ubungo, Dar
Tahadhari ya Wizi!
Engine IMEZIMWA mbali
π°οΈ Ramani halisi ya Dar es Salaam β magari 3 yanatembea live (demo). Bonyeza ramani ku-zoom.
βοΈ HUDUMA ZETU
NexGPS inakupa udhibiti wa chombo chako β fuatilia, linda na simamia chombo chako kwa urahisi kupitia simu yako.
Ona pikipiki au gari lako likitembea live kwenye ramani kwa simu yako. Historia ya safari siku 90.
β App Android + iOS β SMS bila internet
Mwizi akiiba, bonyeza kitufe kimoja β engine inazima yenyewe na chombo kinasimama. Haiwashi tena bila wewe.
β Inafanya kazi nchi nzima β Bure SMS
Pokea SMS + simu ukiwa umelala: chombo kikiguswa, waya ukikatwa, au kikitoka eneo uliloweka.
β Tamper alert β Vibration alert
Weka mipaka: e.g. βIsitoke Sinzaβ. Ikivuka mipaka alarm inalia.
Mwizi akitoa betri ya pikipiki, kifaa chetu kina betri yake ya ndani inayoendelea kutuma location masaa 8.
Kwa wenye magari mengi: mileage, matumizi ya mafuta, tabia ya dereva, nahesabu ya safari β PDF kila wiki.
Pikipiki & Bajaji TZS 130,000 β’ Gari TZS 150,000 β kifaa + ufungaji
ποΈ PIKIPIKI MOJAInakupa uwezo wa:
TZS 130,000
Agiza Sasa β
πΊ BAJAJI MOJAInakupa uwezo wa:
TZS 130,000
Agiza Sasa β
π GARI MOJA β’ ISTInakupa uwezo wa:
TZS 150,000
Agiza Sasa βπ JINSI INAVYOFANYA KAZI
Piga 0752 429 709 au WhatsApp. Tutakuletea kifaa au fika ofisini kwetu Dar es Salaam.
Mafundi wetu wanakuja ulipo β nyumbani au stendi. Kifaa kinafichwa, hakionekani.
Ingia na namba yako β ona chombo chako live mara moja kwa simu yako.
π± Mfumo Wetu β Rahisi Kama WhatsApp
Leo β’ Safari
142 km
β² 12% vs jana
Mafuta yaliyookolewa
TZS 84k
mwezi huu
β½
Historia ya Safari β MC 452 BDK
βββββ
βPikipiki yangu iliibwa Masaki usiku. Nilizima engine kwa simu yangu kabambe! Polisi waliikuta imezimwa Mbezi. NexGPS imeniokoa laki 3!β
Juma M. β Bodaboda, Dar
Mteja tangu 2023
βββββ
βNina bajaji 4. Siku hizi najua kila dereva kaingiza shingapi β hakuna tena βmzee gari limeharibikaβ. Faida imepanda 30%.β
Amina S. β Bajaji Owner, Arusha
Vyombo 4
βββββ
βTuna Noah 12 za kampuni. Sensor ya mafuta imetusaidia kugundua dereva aliyekuwa anaiba mafuta. Ufungaji ulikuwa safi na haraka.β
Kiboko Logistics β Mwanza
Fleet ya magari 12
Ndiyo. Kifaa kina betri yake ya ndani (masaa 8β12) na mara waya ukikatwa unapokea SMS + simu ya tahadhari papo hapo, na location inaendelea kutumwa.
Hapana. Haihitaji internet.
Dakika 30 tu. Fundi wetu anakuja ulipo (Dar).
Hamna ada ya kila mwaka. Unalipa mara moja tu ukinunua GPS β baada ya hapo unafuatilia bila ada ya ziada.
Ndiyo β Fleet Dashboard inaonyesha magari yote kwenye skrini moja, na ripoti za mafuta, speed na safari kwa kila dereva. Wasiliana nasi kwa demo ya kampuni.
Mtaalamu wetu atakupigia ndani ya dakika 15 (8amβ8pm) na kukuonyesha gari lako live kwenye simu yako. Bila malipo, bila shuruti.
Kwanini Wateja 5,800+ Wanatuamini?
π Ofisi kuu:
Machinga Complex, Dar es Salaam, Tanzania
π Jumatatu β Jumamosi: 8:00 β 20:00
NexGPS Support
Online β tunajibu sasa
Habari! π Unahitaji GPS ya pikipiki, bajaji au gari? Tuandikie sasa!
Anza Chat β